Social Icons

FLORA BIDHAA 3

FLORA BIDHAA 3

FRORA BIDHAA 4

FRORA BIDHAA 4

FLORA MBASHA BIDHAA 1

FLORA MBASHA BIDHAA 1

FLORA BIDHAA2

FLORA BIDHAA2

Sunday, February 12, 2012

Hatimaye siku 17 za Mgomo wa Madaktari Zafikia Ukingoni

Dar es salaam, Tanzania

Kutoka jijini Dar es salaam reporter wetu anatuarifu kuwa zile siku kumi na tano za majonzi na huzuni kubwa zilizotokana na mgogoro baina ya serikali na madaktari hatimaye zimekwisha rasmi mara baada ya waziri mkuu Pinda kuteta na madaktari hao.

Uchunguzi uliofanywa na Blog hii katika hospitali mbalimbali za serikali jijini Dar ikiwa ni pamoja na hospitali ya Taifa Muhimbili, Temeke, Mwananyamala na Amana unatanabainisha kuwa sasa huduma katika hospitali hizo zimerejea kama kawaida hali inayowapa matumaini wagonjwa.

UONGOZI WA BLOG HII UNATOA POLE KWA WATANZANIA WOTE WALIOATHIRIKA NA MGOMO HUO LAKINI PIA TUNATOA PONGEZI ZA DHATI KWA KILA ALIYESHIRIKI KUUTATUA.

No comments:

Post a Comment