Social Icons

FLORA BIDHAA 3

FLORA BIDHAA 3

FRORA BIDHAA 4

FRORA BIDHAA 4

FLORA MBASHA BIDHAA 1

FLORA MBASHA BIDHAA 1

FLORA BIDHAA2

FLORA BIDHAA2

Thursday, October 18, 2012

EXCLUSSIVE INTERVIEW NDANI YA PRAISE POWER RADIO, ILIYO FANYWA NA MWANAMUZIKI FRORA E MBASHA PAMOJA NA MUME WAKE EMANUEL WAKIZUNGUMZIA JUU YA HUDUMA WANAYO TOA.

 Hapa Mwanamuziki wa nyimbo za Injili Flora E Mbasha akiwa anajiandaa na Interview 
 Hapa ilikuwa ni Muda ambapo Mwanamuziki Florah Mbasha alikuwa akizungumzia Jambo juu ya Huduma yao kwa njia ya Nyombo za Injili .

 Hapa Mume wa Mwanamuziki Flora Mbasha Bwana Emanuel Mbasha, Akiwa katika mahojiano katika Interview hiyo.
Mtangazaji wa Praise Power Bwana  George Mphela Akiwa anaendelea na Kipindi, ambapo Flora Mbasha pamoja na Mumewe Emanuel walikuwa na mahojiano maalum juu ya huduma wanazo toa 
Ilikuwa ni Furaha mara baada ya kumaliza Interview 
 Wakipata Picha ya pamoja na Presenters  wa Praise Power.
Usikose kununua Copy yako ya Album mpya ya Florah 
Mbasha.. Fanya Njia

No comments:

Post a Comment