Social Icons

FLORA BIDHAA 3

FLORA BIDHAA 3

FRORA BIDHAA 4

FRORA BIDHAA 4

FLORA MBASHA BIDHAA 1

FLORA MBASHA BIDHAA 1

FLORA BIDHAA2

FLORA BIDHAA2

Tuesday, October 16, 2012

TAMASHA LA MUZIKI WA INJILI LA MWANAMUZIKI WA KIMATAIFA FLORA MBASHA PAMOJA NA MUME WAKE LILIVYO FANA CONGO!

 Mwanamuziki Flora Mbasha akiwa anaelekea eneo ambalo alikuwa anafanya Huduma ya Muziki kwa njia ya Injili , huku pembeni ma elfu ya watu wakiwa wanangoja kwa hamu kubwa 
 Kulikuwa na Ulinzi wa kutosha kama inavyo onekana hapa kuna mwanajeshi ambaye yupo bega kwa Bega na Flora Mbasha akimsindikiza katika eneo la tukio.


 Maelfu ya watu wakiwa wamefika kushuhudia tamasha kubwa la Mwanamuziki wa kimataifa nyimbo za Injili Flora Mbasha pamoja na Mume wake Emanuel 
 Ulinzi wa nguvu kila kona wakati wa Tamasha la Flora Mbasha nchini Congo 
 Hapa Mwanamuziki Flora Mbasha pamoja na Mume wake Emanuel wakiwa wanatumbuiza 
 Ilikuwa ni Moja ya movement Nzuri sana ambapo wimbo unaendelea, Mwanajeshi mmoja kama anavyo onekana alishindwa vumilia na kupanda Jukwaani na kuanza kucheza kama anavyo onekana hapa akiwa amejawa na upako huku aki cheza kwa nafasi huku , Mwanamuziki Flora pamoja na Mumewe Emanuel wakiwa wanaendelea kutumbuiza.

 Lilikuwa ni moja  ya matamasha ambalo liliacha historia kwa wakazi wa Congo kama inavyo onekana hapa ma elfu ya watu wamejaa huku wakisikiliza na kufuatilia kwa furaha tamasha kali la muziki wa injili lilio fanywa na Mwanamuziki wa injili wa kimataifa Flora Mbasha pamoja na Mume wake Emanuel kutoka Nchini Tanzania. 


 Hapa wakati wanaendelea na huduma ya muziki wa injili , nyuma wanaonekana watoto wakiwa wamependezea na sale zao huku wakicheza vilivyo, wakiongozwa na Flora pamoja na Mume wake Emanuel 
Kila mwananchi  aliye fika hapa alikuwa akijitahidi kuchukua picha ya ukumbusho 


Hivi ndivyo tamasha la Muziki wa injili la Mwanamuziki wa Nyimbo za injili wa kimataifa Flora Mbasha pamoja na Mume wake Emanuel lilivyo fana nchini Congo huku ma elfu ya watu wakiwa wamefika kushuhudia. 

No comments:

Post a Comment