Social Icons

FLORA BIDHAA 3

FLORA BIDHAA 3

FRORA BIDHAA 4

FRORA BIDHAA 4

FLORA MBASHA BIDHAA 1

FLORA MBASHA BIDHAA 1

FLORA BIDHAA2

FLORA BIDHAA2

Tuesday, October 30, 2012

TAMASHA KUBWA LILILO HUDHURIWA NA MA ELFU YA WATU KATIKA UZINDUZI WA ALBUM YA FLORA MBASHA INAYOITWA FURAHA YAKO, NDANI YA CCM KIRUMBA MWANZA 2009

Mwanamuziki Flora Mbasha akiwa pamoja na Mume wake Emanuel Mbasha  wakiwa wanatumbuiza wakati wa Uzinduzi wa Album ya Furaha yako.
Wakiendelea Kutumbuiza Moja kwa moja ndani ya CCM Kirumba Mwanza .
Hapa ilikuwa ni mwendo wa Furaha kama inavyo onekana Kila mtu akiwa anacheza.
Umati wa Ma elfu ya watu walio furika ndani ya uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza 
****
  Hili ni tamasha la uzinduzi wa Album ya Flora mbasha inayoitwa Furaha yako. Tamasha lilifanyika Mwanza katika viwanja vya CCM Kirumba  mwaka 2009. watu walikuwa ni wengi sana  tunamshukuru Mungu kwani alitukuzwa sana siku hiyo na hata leo bado tunamtukuza.

Ndani ya Jukwaa kuu nao vijana hawakuwa nyuma waliwaburudisha vilivyo wananchi wote walio hudhuria 

 Tamasha likiwa linaendelea 
 Wakubwa kwa watoto walikuwa wamefika kushuhudia tamasha kuwa la Mwanamuziki Flora Mbasha wakati wa Uzinduzi wa Album yake ya Furaha yako.
No comments:

Post a Comment