Social Icons

FLORA BIDHAA 3

FLORA BIDHAA 3

FRORA BIDHAA 4

FRORA BIDHAA 4

FLORA MBASHA BIDHAA 1

FLORA MBASHA BIDHAA 1

FLORA BIDHAA2

FLORA BIDHAA2

Thursday, November 28, 2013

Matukio mbalimbali yanayoendelea kutokea katika mkoa wa Tanga, wachawi wajisalimisha wenyewe baada ya kuangua kutoka angani.

 Flora Mbasha akimsifu Mungu kwa namna ya ajabu kabisa na kuwafanya mashabiki washindwe kukaa chini
Haya ndio majanga yaliyoteka muda mfupi baada ya Mch Gwajima kuanza kuhubiri siku ya juma tano, kundi kubwa la popo sijawahi ona mpaka uwanja ukawa na kivuli.popo wakubwa kama kungulu mchana kweupe,wachawi wa Tanga wanamambo kweli, wachawi wengine watatu walianguka kila mmoja kwa wakati wake pindi mchungaji alipoanza tu kuomba. JINA LA YESU LINA NGUVU SANA
 Flora Mbasha akiendelea kuwapagawisha mashabiki waliojaa kwenye mkutano, kulia ni Mch J Gwajima, kushoto ni Mr Mbasha
 Team nzima ya Flora Mbasha kwa pamoja wakimsifu Bwana kwa furaha tele

Kila siku watu wanazidi kuongezeka katika mkutano unaoendelea hapa Tanga katika viwanja vya Tangamano. Jina la BWANA YESU libarikiwe

No comments:

Post a Comment