Social Icons

FLORA BIDHAA 3

FLORA BIDHAA 3

FRORA BIDHAA 4

FRORA BIDHAA 4

FLORA MBASHA BIDHAA 1

FLORA MBASHA BIDHAA 1

FLORA BIDHAA2

FLORA BIDHAA2

Monday, November 25, 2013

Hivi ndivyo mkutano wa Tanga ulivyoanza siku ya jumapili tarehe 24Nov 2013 katika viwanja vya Tangamano. Watu kutoka maeneo mbalimbali ya ndani na nje ya Tanga walikusanyika kwa wingi wakiwa na kiu kubwa ya kusikia neno la Mungu na kisha kufunguliwa kutoka katika vifungo vya shetani. Mch Josephat Gwajima wa kanisa la Ufufuo na Uzima ndiye anayehubiri. Mwimbaji Wa nyimbo za injili Flora Mbasha atahudumia mkutano kwa njia ya uimbaji hadi mwisho wa mkutano tarehe 1 Dec. watu wote mnakaribishwa

 Flora Mbasha akiimba wimbo unaosema fanya njia BWANA, nyuma yake ni Mch J Gwajima
 Baadhi ya watu waliochukuliwa misukure yaani waliokufa katika mazingira tata wakishuhudia namna walivyochukuliwa na walivyorudishwa.
 Mch wa kanisa la ufufuo na uzima akifundisha kuhusu magonjwa ya kutengeneza
Huu ni umati uliohidhuria mkutano siku ya Kwanza.. Tanga kwa yesu inawezekana

No comments:

Post a Comment