Social Icons

FLORA BIDHAA 3

FLORA BIDHAA 3

FRORA BIDHAA 4

FRORA BIDHAA 4

FLORA MBASHA BIDHAA 1

FLORA MBASHA BIDHAA 1

FLORA BIDHAA2

FLORA BIDHAA2

Friday, January 23, 2015

FROLA MBASHA: MDAU NIUNGE MKONO KWA KUNUNUA BIDHAA ZANGU MPYA

Ninakusalimu mdau wangu, umekuwa nami kwa kipindi kirefu sana, nimeona upendo wako kwangu kwa kuniunga mkono katika mambo yangu mengi na hasa ulipoweza kununua DVD zangu na Audio CD zangu mbalimbali.

Ninapenda kukukaribisha tena katika ulimwengu wa ujasiriamali. Ninakuomba sana uniunge mkono tena kwa kununua hizi bidhaa zangu ambazo naamini ukizitumia zitakuweka katika ulimwengu wa kuheshimiwa. Mungu wangu na akubariki sana mdau wangu. Unaweza kuchukua hizi picha za bidhaa zangu na kuzisambaza katika mitandao mbalimbali kama Istagram, Facebook, blogu, tovuti ili watu waweze kujua bidhaa zangu. Asanteni.

Graphics by Rumafrica +255 715 8515231 comment:

  1. Ever wanted to get free Twitter Followers?
    Did you know you can get them AUTOMATICALLY AND ABSOLUTELY FREE by registering on Like 4 Like?

    ReplyDelete