Social Icons

FLORA BIDHAA 3

FLORA BIDHAA 3

FRORA BIDHAA 4

FRORA BIDHAA 4

FLORA MBASHA BIDHAA 1

FLORA MBASHA BIDHAA 1

FLORA BIDHAA2

FLORA BIDHAA2

ABOUT FLEM RECORDS


FLEM RECORD STUDIO Kirefu cha FLEM ( FLORA E MBASHA)
Flem studio record ni studio inayorecord audio na video na ni studio ambayo inasimamiwa na Mwimbaji wa nyimbo za injili Flora Mbasha, studio hii ni ya kisasa yenye maproducer wenye ujuzi wa khali ya juu, lakini pia studio unatoa uhuru kwa mwimbaji ambaye anaproducer wake na angependa kutumia studio hii anakaribishwa. Studio hii ilianza kufanya kazi tangu 2002 mwezi wa 3, ilizinduliwa na aliyekuwa waziri mkuu wa tanzania Mh Edward Lowassa na kuhudhuriwa na waimbaji mbali mbali pamoja na wadau wengine wa muziki akiwemo Captain John Komba ambaye ni Mbuge
Tunamshukuru sana Mungu kwa kutuwezesha kutimiza ndoto yetu kwani kufungua studio yetu wenyewe ilikuwa ni moja ya ndoto zetu na lengo kubwa zzaidi ni kuhakikisha waimbaji wa nyimbo za injili wanarecord bila usumbufu na injili iwafikie watu wote kwa njia ya uimbaji, tunamshukuru Mungu maana hadi sasa Flem record imeshafanya kazi nyingi za waimbaji wa injili wa ndani na nje ya tanzania.
 Niuchukue fursa hii kukukaribisha kuja kufanya kazi na flem record gharama zetu ni nafuu sana na hizi ni kazi zinazofanyika hapa flem Record;
·         Kurecord nyimbo za aina yote
·         Kurecord matangazo ya aina zote
·         Kurecord mahubiri
·         Kurecord miito ya simu
  wasiliana na Flem Record sasa.
Contact
Flem Record Studio
P.O.Box 24094
Dar Es Salaam, Tanzania
Mobile..   0787 44 20 21,   0754 44 20 21
Email       florambasha@gmail.com
Unaweza pia kupata habari kupitia Page ya facebook.  florambasha Online
Wote mnakaribishwa